KM Ban akana tetesi za kudhibitiwa kipindupindu Zimbabwe

KM Ban akana tetesi za kudhibitiwa kipindupindu Zimbabwe

Kwenye mkutano na waandishi habari mjini Geneva leo Ijumaa, KM Ban Ki-moon alikana madai ya Raisi Robert Mugabe wa Zimbabwe, kwamba janga la maradhi ya kipindupindu nchini mwao limeshatoweka.