Wasiwasi umepamba mazingira ya kambi za wahamiaji katika JKK, UNHCR yaripoti
Shirika la UM juu ya Huduma za Wahamiaji (UNHCR) limeripoti kuingiwa wasiwasi kuhusu usalama wa kambi za wahamiaji wa ndani, zinazosimamiwa na UM, katika eneo la kaskazini ya mji wa Goma, katika JKK.