WHO inaripoti kupungua maambukizi ya kipindupindu Goma
Juu ya hali ya afya katika Goma Shirika la Afya Duniani (WHO) limeripoti maambukizi ya kipindupindu yameonekana kuanza kupungua, katika eneo la vurugu, kama anavyoelezea Msemaji wa WHO, Paul Garwood pale alipokutana na waandishia habari Geneva:~~