OCHA yathibitisha hali Kivu Kaskazini ni ya hatari na kigeugeu
Elizabeth Byrs, Msemaji wa Ofisi ya UM juu ya Misaada ya Dharura (OCHA) alithibitisha Ijumaa kwenye mkutano na waandishi habari mjini Geneva, juu ya hali ya wasiwasi na kigeugeu iliojiri kwa sasa katika Kivu Kaskazini, hali ambayo imeathiri hata wahudumia misaada ya kiutu kwenye eneo hilo:~