Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNHCR ina wasiwasi kwa usalama wa 70,000 katika kambi ya Kibati, JKK

UNHCR ina wasiwasi kwa usalama wa 70,000 katika kambi ya Kibati, JKK

Shirika la UM juu ya Huduma za Wahamiaji (UNHCR) limearifu ya kuwa na wasiwasi kuhusu usalama wa watu 70,000 waliong’olewa makazi na ambao wanaishi kwenye kambi ya Kibati, kaskazini ya vitongoji vya mji wa Goma, katika JKK.