Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Viwanda vya kufuga samaki vina matumaini ya kukidhi mahitaji ya chakula kwa umma siku zijazo: FAO

Viwanda vya kufuga samaki vina matumaini ya kukidhi mahitaji ya chakula kwa umma siku zijazo: FAO

Shirika la UM juu ya Chakula na Kilimo (FAO) leo limetoa ripoti inayosema utamaduni unaohusu huduma za, inayoujulikana kama viwanda vya kilimo cha majini, zimefikia njia panda kwa hivi sasa, kwa sababu ya vizingiti inaashiriwa itakabiliana na vizingiti kadha kwa siku za usoni katika harakati zake za kukidhi mahitaji ya samaki ulimwenguni.