Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Dola bilioni 50 huangamizwa kila mwaka na usimamizi dhaifu wa uvuvi, yahadharisha mashirika ya kimataifa

Dola bilioni 50 huangamizwa kila mwaka na usimamizi dhaifu wa uvuvi, yahadharisha mashirika ya kimataifa

Benki Kuu ya Dunia na Shirika la UM juu ya Chakula na Kilimo (FAO) yametoa taarifa ya pamoja yenye kuonyesha usimamizi dhaifu wa uvuvi wa baharini unasababisha hasara za kiuchumi zinazogharamiwa dola bilioni 50 kila mwaka.