Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

WFP imeomba ifadhiliwe dola milioni 140 kusaidia chakula raia muhitaji Zimbabwe

WFP imeomba ifadhiliwe dola milioni 140 kusaidia chakula raia muhitaji Zimbabwe

Shirika la Miradi ya Chakula Duniani (WFP) limetoa mwito maalumu unaotaka lifadhiliwe mchango wa fedha za dharura za kuhudumia chakula mamilioni ya raia wa Zimbabwe, kama anavyoeleza Msemaji wa WFP, Richard Lee kwenye mahojiano aliyokuwa nayo na Redio ya UM- Geneva:~