Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

WHO inasema mamilioni ya wagonjwa wa akili duniani wananyimwa matibabu

WHO inasema mamilioni ya wagonjwa wa akili duniani wananyimwa matibabu

Shirika la Afya Duniani (WHO) linaihishimu tarehe 09 Oktoba kuwa ni Siku ya Uangalizi wa Magonjwa ya Akili Duniani. Leo WHO imeanzisha mradi mpya wa kudhibiti bora huduma za watu wanaoteseka na maradhi ya utimamu wa akili.