Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UM na Interpol wataanzisha taasisi ya kimataifa kupambana na rushwa

UM na Interpol wataanzisha taasisi ya kimataifa kupambana na rushwa

Ofisi ya UM Dhidi ya Jinai ya Madawa ya Kulevya na Uhalifu (UNODC) na Shirika la Kimataifa la Polisi la INTERPOL wamefikia makubaliano ya kuanzisha taasisi ya kwanza duniani itakayohusika na ilimu, utafiti na mafunzo ya kudhibiti na kupambana na ulajirushwa.