Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Semina ya UM inasalia usalama wa anga Afrika

Semina ya UM inasalia usalama wa anga Afrika

Shirika la UM juu ya Usafiri wa Ndege za Kiraia (ICAO) linaandaa mradi wa kusaidia kutunza usalama wa anga katika Afrika, kwa kutayarisha semina na mafunzo maalumu ya kurekibisha na kuimarisha taratibu zinazohusika na kuruka na kutua kwa ndege.