Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

'Siku ya Kusuuza Mikono Duniani' inaheshimiwa kimataifa kwa mara ya awali

'Siku ya Kusuuza Mikono Duniani' inaheshimiwa kimataifa kwa mara ya awali

Tarehe ya leo, Oktoba 15, inaadhimishwa kwa mara ya kwanza ulimwenguni kuwa ni ‘Siku ya Kusuuza Mikono Duniani’. Nchi 70 zinashiriki kwenye taadhima hizi katika mabara matano ya ulimwengu wetu.