Wasafishaji mabomu yaliotegwa Lebanon Kusini watunukiwa Tunzo ya NANSEN na UNHCR

15 Septemba 2008

Shirika la UM juu ya Huduma za Wahamiaji (UNHCR) limetangaza leo kwamba litatunukia zawadi yake kuu, inayojulikana kama Tunzo ya Nansen, Tawi la Taasisi ya UM Inayoongoza Shughuli za Kusafisha Mabomu Yaliotegwa Ardhini katika Lebanon Kusini.

Mshauri wa Taasisi ya UM ya Kusafisha Mabomu yaliotegwa Ardhini, Chrisptopher Clark, alihojiana na Patrick Maigua wa Redio ya UM-Geneva juu ya Tunzo ya Nansen:

Sikiliza taarifa kamili kwenye idhaa ya mtandao.

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud