Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Hali Ossetia Kusini inayatia wahka mashirika ya UM

Hali Ossetia Kusini inayatia wahka mashirika ya UM

Mashirika kadha ya UM yametangaza wasiwasi wao juu ya hali hiyo ya vurugu na athari zake katika kukidhi mahitaji ya kiutu kwa raia walionaswa kwenye mazingira ya mapigano katika Ossetia ya Kusini.