Skip to main content

BU inazingatia UNMIS na silaha za maangamizi ya halaiki

BU inazingatia UNMIS na silaha za maangamizi ya halaiki

Baraza la Usalama limekutana Ijumatatu asubuhi Makao Makuu kuzingatia uzuiaji wa utapakaji wa silaha za mauaji ya halaiki duniani. Kadhalika, Baraza limesailia ripoti ya KM kuhusu maendeleo kwenye operesheni za shughuli za Shirika la kuimarisha ulinzi wa amani wa UM Sudan Kusini (UNMIS).~~