Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

KM amewasili Jamhuri ya Korea kwa ziara rasmi

KM amewasili Jamhuri ya Korea kwa ziara rasmi

KM Ban Ki-moonn Alkhamisi alifanyiwa mapokezi ya kishujaa alipowasili Jamhuri ya Korea (Korea ya Kusini), taifa aliozaliwa. Hii ni ziara rasmi ya awali kwa KM Ban tangu alipochukua madaraka ya kuongoza UM katika miezi 18 iliopita.