Facebook Twitter Print Email
KM amepokea kwa ukunjufu mkuu taarifa ya Serikali ya Colombia kuwa imefanikiwa kuwaokoa mateka 15 walioshikwa na wanamgambo wa Jeshi la Mapinnduzi katika Colombia au FARC.