Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ripoti ya KM kuhusu hali katika Jamhuri ya Afrika ya Kati na Chad

Ripoti ya KM kuhusu hali katika Jamhuri ya Afrika ya Kati na Chad

Baraza la Usalama linashauriana leo juu ya ripoti ya KM kuhusu hali ya usalama na ulinzi wa operesheni za amani za UM katika Jamhuri ya Afrika ya Kati na Chad, ikijumuisha huduma za wahamiaji, kijjumla, wa nje na ndani ya nchi, na kusailia maendeleo katika kuandaa mazingira ya usalama yatakayowawezesha wahamiaji hawo kurejea makwao bila ya matatizo. ~~