Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ajenti wa malori yanayoajiriwa na WFP auawa Usomali

Ajenti wa malori yanayoajiriwa na WFP auawa Usomali

Watu wenye silaha wasiotambulikana Ijumapili walimpiga risasi na kumwua ajenti wa kampuni ya malori yanayoajiriwa na Shirika la Miradi ya Chakula Duniani (WFP), katika mji wa kusini wa Buale, Usomali kutokana na mabishano ya kienyeji kuhusu malipo.