Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ripoti juu ya silaha ndogo ndogo imewasilishwa rasmi Makao Makuu

Ripoti juu ya silaha ndogo ndogo imewasilishwa rasmi Makao Makuu

Timu ya wataaalmu magwiji waliopo Geneva, Uswiss waliodhaminiwa madaraka maalumu ya kuchunguza athari za biashara haramu ya silaha ndogo ndogo na nyepesi ulimwenguni, ambao pia walishirikiana na wataalamu kutoka sehemu nyengine kadhaa za dunia, waliwasilisha matokeo ya uchunguzi wao mapema wiki hii kwenye Makao Makuu, mbele ya waandishi habari wa kimataifa.