Skip to main content

HRC yachagua raisi mpya

HRC yachagua raisi mpya

Baraza la Haki za Binadamu (HRC) limemchagua Martin Ihoeghian UHOMOIBHI, mwanadiplomasiya wa Nigeria kuwa raisi mpya baada ya Dorus Romulus Costea wa Romania kumaliza muda wake. Baada ya uchaguzi Uhomoibhi alinasihi kwenye risala yake kwamba hakuna taifa wala raia wenye kutawalia haki za binadamu, lakini matifa yote, pamoja na umma wote wa kimataifa, wanawajibika, kimaadili, kutekelza na kuhifadhi haki hizo kipamoja.