Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Eritrea imeshtumiwa kuvuruga huduma za amani mipakani

Eritrea imeshtumiwa kuvuruga huduma za amani mipakani

Halkadhalika, Baraza la Usalama, liliafikiana jana usiku kwamba vizingiti vilivyoekewa walinzi wa amani wa UM wa UNMEE na wenye madaraka katika Eritrea, mipakani na Ethiopia, vimeharibu na kuvuruga utaratibu wa huduma za amani kwenye eneo hilo la mgogoro.