Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

KM alaani mauaji ya seminari Jerusalem

KM alaani mauaji ya seminari Jerusalem

KM Ban Ki-moon ameshtumu vikali mashambulio yaliotukia Alkhamisi kwenye seminari ya dini ya Kiyahudi iliopo katika eneo la Jerusalem magharibi ambapo watu wanane waliuawa na wengine kadha kujeruhiwa. KM alisema kitendo hicho kilikuwa ni cha “kikatili.” ~~