Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UM umeripoti utulivu unarejea kwa hatua Mashariki ya JKK

UM umeripoti utulivu unarejea kwa hatua Mashariki ya JKK

Ross Mountain, Naibu Mjumbe Maalumu wa KM kwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (JKK) ameripoti kuwa ana imani kuu utulivu na hali ya usalama itaendelea kurejea, kwa hatua za kutia moyo, katika jimbo la Ituri. Eneo hikli liliopo mashariki kwa muda mrefu lilipambiwa na vurugu pamoja na mizungu ya makundi ya wanamgambo na waasi, ambao walihatarisha maisha ya umma kijumla.~~