Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ajali ya treni huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Ajali ya treni huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Tukiendelea na makala ya Jarida wiki hii, kama mlivyo sikia kwenye taarifa ya habari kulitokea ajali mbaya ya treni huko karibu na mji wa Kakenge, jimbo la Kasai ya Magharibi DRC.

Idadi ya walofariki huwenda ikaongezeka pale mabehewa yatakapoinuliwa. Abdushakur Aboud alizungumza na mwandishi habari Ahmed Simba na kumuliza kwanza hali ikojee hii leo baada ya ajali kutokea jumatano usiku