Skip to main content

Afisi ya UM huko DRC yapeleka timu za uwokozi katika eneo ya ajali ya treni

Afisi ya UM huko DRC yapeleka timu za uwokozi katika eneo ya ajali ya treni

Afisi ya kulinda amani ya UM huko Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo, MONUC, imepeleka madaktari, manesi, na wafanyakazi wa huduma za dharura pamoja na vifaa vya uwokozi hadi jimbo la Kasai magharibi ambako kiasi ya watu 100 wamefariki kutokana na ajali mbaya ya treni.