Mkutano wa viongozi juu ya kuimarisha taasisi na ujuzi wa Waafrika katika Maendeleo
Mkutano wa pili wa viongozi juu ya kuimarisha uwezo wa utekelezaji wa nchi za Kiafrika ulimalizika mjini Maputo hii leo.
Mkutano huo ulotayrishwa na tasisi ya kuimarisha uwezo wa afrika ACBF, ulikua unajadili njia za kuimarisha taasisi za nchi za kiafrika na uwezo wa wakazi wake katika karne hii ya 21. Abdushakur Aboud alizungumza na rais wa zamani wa Tanzania Benjamin Mkapa na kumuliza matokeo ya mkutano.