Skip to main content

DRC: Maafisa wa UM wahimiza suluhisho la kisiasa kwa ghasia za mashariki

DRC: Maafisa wa UM wahimiza suluhisho la kisiasa kwa ghasia za mashariki

Naibu katibu mkuu anaeshughulikia operesheni za kulinda amani ametoa mwito wa kupatikana suluhisho la kisiasa na wala si la kijeshi kutanzua mzozo huko mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.