Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Katibu Mkuu ana wasiwasi na operesheni za serekali katika Darfur kaskazini

Katibu Mkuu ana wasiwasi na operesheni za serekali katika Darfur kaskazini

Mapema wiki hii KM Ban aliripoti kuingiwa wasiwasi kuhusu athari za operesheni za Serekali ya Sudan katika Darfur Kaskazini, ambako inasemekena ndege zake za kijeshi zilishambulia hivi karibuni raia na kujeruhi idadi kubwa yao.