Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

KM apendekeza muda wa ulinzi amani Ethiopia na Eritrea uongezwe

KM apendekeza muda wa ulinzi amani Ethiopia na Eritrea uongezwe

Ripoti ya KM juu ya hali mipakani kati ya Ethiopia na Eritrea imependekeza Baraza la Usalama liongeze kwa miezi sita ziada operesheni za ulinzi wa amani za UM katika eneo hilo.