Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Katibu Mkuu ziarani Ulaya na Afrika

Katibu Mkuu ziarani Ulaya na Afrika

KM Ban Ki-moon alianza ziara rasmi Ijumanne kuyatembelea mataifa saba ya Ulaya na Afrika. Hii ni ziara kuu ya kwanza ya KM tangu alipochukua madaraka ya kuuongoza UM Janauari mosi.