Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu ashinikiza uchunguzi ufanyike juu ya mauaji ya waandamanaji Guinea

Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu ashinikiza uchunguzi ufanyike juu ya mauaji ya waandamanaji Guinea

Louise Arbour, Kamishna Mkuu wa UM juu ya Utekelezaji wa Haki za Kibinadamu Ulimwenguni alinakiliwa akisema kuna ulazima wa tume huru kubuniwa itakayoendeleza uchunguzi kuhusu mauaji ya waandamanaji yaliotukia 10 Januari 2007 kufuatia mgomo wataifa ulioaznishwa wakati huo.