Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

EU kufadhilia dola milioni 1.3 WFP kuhudumia chakula wahamiaji wa Sahara ya Magharibi

EU kufadhilia dola milioni 1.3 WFP kuhudumia chakula wahamiaji wa Sahara ya Magharibi

Shirika la UM juu ya Miradi ya Chakula Duniani (WFP) limepokea kutoka idara inayohusika na misaada ya kiutu ya Umoja wa Ulaya (EU) msaada wa dola milioni 1.3 ulikusudiwa kuhudumia wahamiaji wa Sahara ya Magharibi waliopo Algeria.