Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kay akutana na wanaharakati Somalia

Kay akutana na wanaharakati Somalia

Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia Nicholas Kay amewasili nchini humo tayari kuanza kazi ambapo miongoni mwa kazi za awali alizofanya ni kukutana na wawakilishi wa makundi ya wanaharakati.

Ungana na Joseph Msami katika taarifa hii inayofuatilia ziara hii ya Kay ambaye aliteuliwa hivi karibuni na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa.

Ni Joseph Msami akimulika ziara ya Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia aliyeanza kazi zake kwa kukutana na wanaharakati wanawake nchini humo.