Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

27 Agosti 2020

27 Agosti 2020

Pakua

Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo na Flora Nducha

- Ripoti mpya ya shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF yasame Takribani theluthi ya watoto wa shule duniani kote, hawakuweza kupata masomo nje ya mazingira ya shule.

-Nini siri ya Mauritius kudhibiti COVID-19 katika muda mfupi

-Kutana na mkimbizi Khalili Ibrahim kutoka Syria ambaye ajali na athari za janga la corona au COVID-19 ilimlazimisha kumwachisha binti yake shule ili afanye kazi.

-Na kwenye makala leo  tunamulika safari ya Afrika kutokomeza ugonjwa wa Polio

-Na kwenye mashinani leo  tutakwenda nchini Uganda ambako tutasikia jinsi shirika la Umoja wa Mataifa la afya duniani WHO linatoa mafunzo kwa wahudumu wa afya

Audio Credit
Flora Nducha
Sauti
13'13"