Polio

Kampeni ya chanjo ya Polio Sudan Kusini yaendelea vizuri

Awamu ya pili ya chanjo dhidi ya ugonjwa wa Polio nchini Sudan Kusini iliyoanza tarehe 16 mwezi huu wa Februari inaendelea vizuri ikilenga watoto zaidi ya milioni 28 wenye umri wa kuanzia siku ya kuzaliwa hadi chini ya umri wa miaka mitano.
 

Watoto zaidi milioni 1.9 wa Iraq katika maeneo yaliyoko katika hatari kubwa, kuchanjwa dhidi ya polio 

Mamlaka za afya za Iraq, kwa kushirikiana na mashirika ya Umoja wa Mataifa, la afya,WHO na lile la kuhudumia watoto UNICEF, jana jumapili wameanza kampeni kubwa ya kuwapatia chanjo watoto wa Iraq, ikiwalenga zaidi ya watoto milioni 1.9 chini ya umri wa miaka mitano.  

Kijana Richard anatumia ulemavu wake kuelimisa jamii kuhusu umuhimu wa chanjo dhidi ya polio

Kutana na Richard Elaka mkazi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC ambaye ni manusura wa ugonjwa wa polio. Yeye anatumia hali yake ulemavu kutokana na Polio kuelimisha jamii umuhimu wa kupatia watoto wao chanjo dhidi ya ugonjwa huo usio na tiba lakini una kinga.

Sauti -
1'49"

WHO/UNICEF wachukua hatua kulinda watoto dhidi ya polio

Kampeni kubwa ya chanjo imezinduliwa leo nchini Sudan Kusini na mashirika ya Umoja wa Mataifa la afya duniani WHO na la kuhudumia Watoto

Sauti -
2'26"

13 Novemba 2020

Sikiliza Jarida la habari la Ijumaa Novemba 13, 2020 na Flora Nducha.

Sauti -
11'39"

WHO/UNICEF kutoa chanjo dhidi ya polio kwa kwa Watoto milioni 1.5 Sudan Kusini

Kampeni kubwa ya chanjo imezinduliwa leo nchini Sudan Kusini na mashirika ya Umoja wa Mataifa la afya duniani WHO na la kuhudumia Watoto UNICEF kwa lengo la kuwachanja watoto milioni 1.5 dhidi ya polio baada ya mlipuko mpya kusababisha kupooza kwa watoto 15.

Surua bado ni mwiba, idadi ya wagonjwa yafurutu ada, yaua watu 200,000 utoaji chanjo wakwama- WHO

Ugonjwa wa surua ulisababisha vifo vya watu wapatao 207,000 mwaka jana pekee baada ya muongo mzima wa mkwamo wa kupanua wigo wa utoaji wa chanjo, limesema shirika la afya la Umoja wa Mataifa, WHO na kitu cha Marekani cha udhibiti wa magonjwa, CDC.
 

Wahudumu 2 wa kutoa chanjo dhidi ya Polio Somalia wauawa, UNICEF yalaani

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF, limeeleza kushtushwa kwake na mauaji ya wafanyakazi wawili wa kibinadamu mjini Mogadishu nchini Somalia hii leo.

Kampeni ya chanjo dhidi ya polio na surua Somalia kichocheo cha mustabali bora wa watoto

Malaki ya watoto nchini Somalia wamechanjwa dhidi ya ugonjwa wa surua na polio wakati wa kampeni ya chanjo kudhibiti mlipuko wa magonjwa hayo hatari, imeeleza taarifa ya mpango wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia, UNSOM.

Sauti -
3'6"

08 Oktoba 2020

Katika kila sekunde 16 mtoto mmoja huzaliwa mfu, imesema ripoti mpya ya aina yake iliyotolewa na mashirika ya Umoja wa Mataifa na taasisi zake.

Sauti -
12'30"