Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tusipolinda matumizi ya bahari mabadiliko ya tabianchi yatatuatthiri vibaya:UN

Tusipolinda matumizi ya bahari mabadiliko ya tabianchi yatatuatthiri vibaya:UN

Pakua

Mkutano wa 20 wa nchi wanachama wa mkataba wa kimataifa wa matumizi ya baharí UNCLOS ukianza leo kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New  York, Marekani, Umoja wa Mataifa umetaka matumizi endelevu ya baharí kuu na eneo mahsusi la kiuchumi baharini ili kuepusha madhara zaidi ya mabadiliko ya tabianchi.

Audio Credit
UN News/Flora Nducha
Audio Duration
1'33"
Photo Credit
UN Photo/Mark Garten)