Radio haifi ng'o- Jane John

Wanaosema radio inakufa hao hawajafanya utafiti. Ni kweli kuna mitandao ya kijamii lakini hiyo bado haijafika vijijini.
Studioni ni Jane John mtangazaji wa habari za michezo katika shirika la Utangazaji Tanzania, TBC akitangaza kipindi cha michezo.