22 Februari 2018

Lugha ya mama inasalia ndio msingi wa kumwezesha binadamu kujikwamua na maisha yake. Umfundishapo kwa kutumia lugha ya mapokeo atatumia muda mrefu kuelewa lakini ukitumia lugha ya mama uelewa ni wa haraka zaidi na  una tija.