Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

09 SEPTEMBA 2022

09 SEPTEMBA 2022

Pakua

Katika Jarida la habari la Umoja wa Mataifa leo Ijumaa Flora Nducha anakuletea

-Katika siku ya kimataifa ya kulinda shule dhidi ya mashambulizi mashirika ya Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF na la elimu sayansi na utamaduni UNESCO yanasema Afrika ya Kati na Magharibi ni nyumbani kwa karibu robo ya watoto wote duniani wasiokwenda shule  

-Taasisi ya Molteno ya lugha, kusoma na Kuandika kutoka nchini Afrika Kusini imetunukiwa tuzo ya kujua kusoma na kuandika ya mwaka 2022 ijulikanayo kama confucius ambayo hutolewa na shirika la elimu sayansi na utamaduni la Umoja wa Mataifa UNESCO.

-Makala yetu leo inatupeleka kuangazia wahamiaji na changamoto wanazopitia kwenda kusala hifazi hasa raia wa Venezuela wanapoikimbia nchi yao kuingia Chile

-Mashinani inaturejesha Makao Makuu ya Un kwenye mkutano wa waathirika wa ugaidi na mmoja wao anakumbuka siku ambayo hatoisahau maishani shambulio la ugaidi lilipobisha hodi kwenye sherehe ya harusi yake

Audio Credit
UN News/Flora Nducha
Audio Duration
10'59"