Jordan

Kufunga ndoa kwenye kambi ya wakimbizi haimanishi kutovaa shela la ndoto yako:Nour

Kutana na mkimbizi Nour anayeishi kwenye kambi kubwa kabisa ya wakimbizi wa Syria ya Zaatari  nchini Jordan. Anamiliki duka la kushona na kuuza magauni ya harusi, kwani anaamini kwamba kufungia ndoa kambini sio tija ya bi harusi kutovaa gauni la ndoto yake katika siku hiyo muhimu maishani.

Jordan yatekeleza azma ya UN ya kutomwache yeyote kwenye chanjo ya COVID-19

Wakimbizi nchini Jordan wameanza kupokea chanjo ya COVID-19 ikiwa ni sehemu ya mpango wa kitaifa wa afya ambao unajumuisha raia wote, wakimbizi na wakazi. John Kibego na maelezo zaidi.

Sauti -
1'41"

Chanjo ya COVID-19 yaanza kutolewa kwa wakimbizi nchini Jordan 

Wakimbizi nchini Jordan wameanza kupokea chanjo ya COVID-19 ikiwa ni sehemu ya mpango wa kitaifa wa afya ambao unajumuisha raia wote, wakimbizi na wakazi.

Mama mkimbizi aamua kufa kupona kuitunza familia yake licha ya COVID-19 

Kutana na mkimbizi Fatima, raia wa Syria, na mumewe Abdel Kahar pamoja na watoto wao wadogo wanne ambao wanaishi katika shamba huko Sabha, Mafraq, kaskazini mwa Jordan. Wakati wa ufungaji mipaka kwa sababu ya COVID-19, Fatima hakuweza kufanya kazi shambani hali ambayo ilisababisha kupungua kwa kipato chake cha kawaida.

Matangazo ya elimu kwa televisheni na mtandaoni yasaidia wakimbizi Jordan

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR kwa kushirikiana na serikali ya Jordan, wamechukua hatua hatua kuhakikisha ku

Sauti -
2'17"

Matangazo ya elimu kwa televisheni na mtandaoni yasaidia wakimbizi Jordan

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR kwa kushirikiana na serikali ya Jordan, wamechukua hatua hatua kuhakikisha kuwa wakimbizi wa Syria katika kambi ya Za’atari nchini humo wanaendelea na masomo licha ya kufungwa kwa shule 32 kambini humo kutokana na hofu ya ugonjwa wa virusi vya Corona au COVID-19.

Kambini Zaatar Jordan maandalizi dhidi ya COVID-19 yashika kasi:UNHCR

UNHCR imesema inafanya kazi na wizara ya afya ya Jordan kuandaa mazingira ya kupambana na virusi vya corona. 

Sauti -
1'30"

02 APRILI 2020

Katika Jarida la habari hii leo assumpta Massoi anakuletea

Sauti -
12'59"

Ingawa nina miaka 11 najihisi nina miaka 100: mtoto Naamat

Wakati vita vya Syria vikiwa vimetinga miaka tisa sasa maelfu ya watoto maisha yao yanaendelea kuwa njiapanda wengi wakiwa wamepoteza wazazi na kila kitu na wengine kulazimika kukua kuliko umri wao.

ILO yachukua hatua kurahisisha upatikanaji wa vibali vya kazi kwa wakimbizi nchini Jordan

Nchini Jordan shirika la kazi duniani, ILO limechukua hatua kurahisisha wakimbizi kutoka Syria wanaofanya kazi kwenye sekta ya kilimo na u

Sauti -
2'8"