Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

26 Mei 2022

26 Mei 2022

Pakua

Jaridani Mei 26-2022 na Leaha Mushi

-Hafla maalum ikiongozwa na Katibu Mkuu Guteress yafanyika kwenye makao makuu kuwaenzi walinda amani wa Umoja wa Mataifa

-Walinda amani kadhaa waenziwa kwenye Umoja wa Mataifa kwa tuzo

-Na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF imeeleza kusikitishwa na vifo vya takriban watoto 11 wachanga waliozaliwa hivi karibuni, kufuatia moto katika kitengo cha watoto wachanga cha hospitali ya Tivaouane nchini Senegal. 

Mada kwa kina inaangazia walinda amani wa Umoja wa Mataifa walioko MONUSCO nchini DRC

Katika kujifunza kiswahili inafafanuliwa methali “USISAFIRIE NYOTA YA MWENZIO”

Audio Credit
Leah Mushi
Audio Duration
13'57"