Senegal

UN yalaani ghasia zinazoendelea Senegal, yataka utulivu

Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na mkuu wa ofisi ya Umoja wa Mataifa ya  Afrika Magharibi ,UNOWAS,  Mohamed Ibn Chambas, amelaani vitendo vya ghasia viliyofanyika kwenye maeneo tofauti tofauti nchini Senegal ambako mtu mmoja ameuawa na wengine kadhaa wamejeruhiwa.
 

IFAD yasaidia maendeleo ya kilimo Senegal

Nchini Senegal, wakulima na wafanyabiashara wadogo wameushukuru mradi wa kusaidia maendeleo ya sekta ya kilimo, PAFA, unaofadhiliwa na Mfuko wa kimataifa wa maendeleo ya kilimo IFAD. Anold Kayanda na maelezo zaidi. 

(TAARIFA YA ANOLD KAYANDA)

Sauti -
1'30"

IFAD inafanya jukumu lisilopingika katika maendeleo ya kilimo ya Senegal

Nchini Senegal, wakulima na wafanyabiashara wadogo wameushukuru mradi wa kusaidia maendeleo ya sekta ya kilimo, PAFA, unaofadhiliwa na Mfuko wa kimataifa wa maendeleo ya kilimo IFAD.

24 DESEMBA 2020

Katika Jarida la Umoja wa Mataifa hii leo Flora Nducha anakuletea

Sauti -
11'15"

Ulemavu unakuwa kulemaa kutokana na fikra za watu: Djenalib Ba

Watu bilioni 1 kote dunia wana ulemavu na asilimia 80 wanaishi katika nchi zinazoendelea wakikabiliwa na changamoto kubwa ikiwemo unyanyapaa, ubaguzi na kutopata fursa za kuwezesha kuchangia katika jamii kwa mujibu wa shirika la kimataifa la mpango wa maendeleo ya kilimo IFAD.  Nchini senegali mmoja wa watu wenye ulemavu ameamua kukabiliana na moja ya fikra potofu kwamba ulemavu ni kulemaa. Kulikoni? 

Wanawake 10 watengeneza filamu toka Afrika kupata mafunzo kwa msaada wa UNESCO

Mkurugenzi mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, Sayansi na Utamaduni UNESCO Audrey Azoulay na mtayarishashi filamu mashuhuri kutoka Japan NaomiKawase leo Alhamisi wametangaza majina 10 ya washindi wa tuzo ya UNESCO kwa ajili ya watayarishaji vijana wa filamu ambao ni wanawake toka barani afrika ilijulikanayo kama Nara Residency for Young African Female Filmmakers.

Nimeshukuru sana kushinda tuzo ya polisi mwanamke wa UN kwa mwaka 2019- Meja Diouf

Meja Seynabou Diouf kutoka jeshi la polisi la taifa la Senegal amechaguliwa na kutangazwa kutwaa tuzo ya polisi mwanamke wa Umoja wa Mataifa kwa mwaka 2019. 

Sauti -
3'6"

 Mwanamke akidhamiria, anaweza kufanya chochote- Meja Seynabou Diouf

Meja Seynabou Diouf kutoka jeshi la polisi la taifa la Senegal amechaguliwa na kutangazwa kutwaa tuzo ya polisi mwanamke wa Umoja wa Mataifa kwa mwaka 2019. 

Ajali ya helikopta CAR yaua walinda amani 3 wa Senegal, UN yazungumza

Nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR, helikopta iliyokuwa imebeba walinda wanne wa Umoja wa Mataifa kutoka Senegal imeanguka leo na kusababisha vifo vya walinda amani watatu huku mmoja akijeruhiwa.

Uimarishaji amani Sahel uende sambamba na misaada ya kimkakati- FAO

Mkurugenzi Mkuu wa shirika la chakula na kilimo duniani, FAO José Graziano Da Silva aliyeko ziarani  nchini Senegal, amesema harakati zote za kusaka amani ya kudumu kwenye eneo la Sahel lazima ziende sambamba na uwekezaji mkubwa katika maendeleo vijiijni na kilimo.