Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

18 Aprili 2022

18 Aprili 2022

Pakua

Hii leo katika Jarida la Habari tunamulika kwa kina ukame na njaa Pembe ya Afrika ambapo Msadizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Naibu Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayoratibu misaada ya dharura, OCHA. Bi. Joyce Msuya anazungumzia kile ambacho wanafanya kusaidia wakazi wa eneo hilo. Habari kwa Ufupi inamulika chanjo ya Polio Ethiopia, uzinduzi wa kituo cha kimataifa cha tiba asilia nchini India na kumalizika kwa mzozo baina ya jamii a walendu na wahema huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, waliokuwa wakizozozana juu ya matumizi ya kanisa. Mashinani tunakwenda Ethiopia, karibu na mwenyeji wako ni Grace Kaneiya.

Audio Credit
Grace Kaneiya
Audio Duration
12'31"