Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

31 Machi 2022

31 Machi 2022

Pakua

Katika Jarida hii leo Grace Kaneiya atakujuza yanayo endelea katika pembe ya Afrika ikiwemo:- 

  • Wito uliotolewa na UNHCR kusaidia wakimbizi wa ndani nchini Sudan Kusini ambao kwa miaka zaidi ya miwili wanaishi katika mazingira yaliyozungukwa na maji ya mafuriko.. 
  • Nchini Sudan nako Mfuko wa IFAD umesaidia kupunguza mapigano baina ya wakulima na wafugaji wanaojikuta mara kwa mara wakipigania ardhi. 
  • Nako nchini Tanzania mradi unaoendeshwa na mashirika ya Umoja wa Mataifa umesaidia kuwainua watoto wakike kujiunga na masomo ya sanyansi na sasa shule jirani zinaiga mradi huo wa kuwawezesa watoto wa kike. 

Kwa habari hizo na nyingine nyingi ikiwemo simulizi ya kijana aliyeamua kuachana na kupigana vita msituni huko Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo - DRC karibu kusikiliza jarida. 

Audio Credit
Grace kaneiya
Audio Duration
15'23"