Kyangwali

Wakimbizi watoa maoni kuhusu kazi za Umoja wa Mataifa, Uganda

Umoja wa Mataifa ambao umetimiza miaka 75 tangu kuanzishwa kwake, unaendelea kufanya  mengi kuboresha maisha ya watu katika vikundi mbalimbali vya jamii na serikali ili kuboresha maisha yao, kuchochea maendeleo na vilevile kuhakikisha utulivu katika maeneo yenye migogoro.

Sauti -
3'35"

Kwa sasa nimewaambia wakimbizi wenzangu tusishikane mikono, tusitembeleane- Acces Bazibuha  

Sasa ni makala ambapo tunafuatilia hali ilivyo na mikakati inayowekwa na wadau mbalimbali yakiwemo mashirika ya Umoja wa Mataifa lile la kuhudumia wakimbizi

Sauti -
54"

Hata kama corona imetuingilia, bado tunaamini bado maisha yako mbele-Wanafunzi wakimbizi Uganda

Makala ifuatayo inamulika changamoto wanazokumbana nazo wanafunzi wakimbizi ambao hivi sasa wanalazimika kusalia majumbani ndani ya kambi baada ya shule kufungwa nchini Uganda ili kukabiliana na C

Sauti -
3'37"

Mustakbali wa wanafunzi wakimbizi wamulikwa kati ya changamoto ya COVID-19, Uganda

Baadhi ya hatua zilizochukuliwa na nchi nyingi duniani kama sehemu ya njia za kudhibiti kuenea kwa COVID-19, zimeathiri vibaya Malengo ya Maendeleo Endelevu, SDGs likiwemo lile namba nne linal

Sauti -
3'57"

WFP yapunguza mgao wa chakula kwa wakimbizi, Uganda

Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula duniani (WFP) limekata msaada wake wa chakula na pesa kwa wakimbizi zaidi za milioni 1.2 nchini Uganda kutokana na ukata wa ufadhili wakati huu ambapo dunia imesongwa na changamoto ya kupambana na mlipuko wa virusi vya Corona, COVID-19

Mwanamke mwenye ulemavu wa kuona aeleza madhila vitani, DRC-Sehemu ya 1 

Wanawake hukumbana na madhila mengi duniani huku wakihitaji kuungana mkono wao kwa wao ili kihimili madhila haya ambayo hua pamoja na ubakaji, kuporwa mali na kutumikishwa kingono na ndoa za ntotoni na kwa lazima.

Sauti -
3'53"

Wakimbizi waomba msaada kukuza kipaji cha usanii Uganda

Mizozo hufifisha ndoto za vijana wengi baada ya wao kulazimika kufungasha virago mara nyingi kwa ghafla kitu ambacho huvunja mawasilaino na hatimaye mahusiano kwani kila mmoja husaka hifadhi popote pale kuna usalama bila kujali marafiki na akraba zake.

Sauti -
3'44"

17 DESEMBA 2019

Katika Jarida la Habari za Umopja wa Mataifa hii leo Anold Kayanda anakuletea

-Umoja wa Mataifa wasema kuwakirimu wakimbizi sio lazima uwe tajiri ni moyo wa kusaidia ukiisa jumuiya ya kimataifa kuongeza juhudi za kuwasaidia watu zaidi ya milioni 70 waliolazimika kukimbia makwao.

Sauti -
11'39"

Wakimbizi na wenyeji huko Kyaka na Kyangwali wafurahia huduma mpya ya maji

Nchini Uganda, wakimbizi wanaoishi kwenye makazi ya Kyaka na Kyangwali pamoja na wenyeji wao wameanza kunufaika na miradi miwili ya maji iliyojengwa na shirika la uhamiaji duniani, IOM kwa msaada wa fedha kutoka Muungano wa Ulaya, EU.

Sauti -
1'53"

12 Novemba 2019

Jumanne ya Novemba 12, 2019, kubwa zaidi ni habari kuhusu ugonjwa wa vichomi ambao husababisha kifo cha mtoto katika kila sekunde 39. Miongoni mwa nchi 10 ambazo zinaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya vifo vya watoto kutokana na vichoni ni Nigeria, DRC na Tanzania.

Sauti -
11'23"