Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

07 Desemba 2021

07 Desemba 2021

Pakua

Karibu kusikiliza jarida ambapo miongoni mwa utakayo sikia leo ni WHO yakataza mtu aliyepona coronavirus">COVID-19 kumchangia damu mgonjwa anayeugua coronavirus">COVID-19 pamoja na Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa mazingira duniani UNEP leo limewatangaza washindi wanne wa tuzo yake ya juu kabisa ya mazingira ijulikanayo kama “champions of the Earth Award” kwa mwaka 2021. 

Jiunge na Flora Nducha kupata undani wa taarifa hizo na nyingine nyingi 

Audio Credit
Flora Nducha
Audio Duration
13'34"