Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

02 Novemba 2021

02 Novemba 2021

Pakua

Leo tarehe 02 Novemba  2021 siku ya kimataifa ya kutokomeza ukwepaji sheria kwa uhalifu dhidi ya wanahabari  ASSUMPTA MASSOI anakuletea jaridi likizungumzia kwa undani juu ya siku hii na takwimu zilizotolewa na shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu Sayansi na Utamaduni,  UNESCO pamoja na ujumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa.

Pia utasikua yanayoendelea huko Glasgow kunakofanyika mkutano wa 26  wa mabadiliko ya tabianchi -COP26 ambako viongozi wanawake akiwemo Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan wamekuwa na mkutano kuangazia nafasi ya mwanamke katika masuala ya mabadiliko ya tabianchi.

Taarifa nyingine utakazo sikia leo ni ripoti ya ajira kwa watoto pamoja na wananchi karibu na Ziwa Alberti nchini Uganda wanaoathirika na mabadiliko ya tabianchi.

Audio Credit
Assumpta Massoi