Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

21 Juni 2021

21 Juni 2021

Pakua

Leo katika Jarida Assumpta Massoi anakuletea

-Kamishina mkuu wa haki za binadamu Michelle Bachelet aitaka dunia kutoacha ukiukwaji wa haki za binadamu uendelee

-Shirika la afya la Umoja wa Msataifa WHO limesema milipuko ya Ebola Afrika Magharibi mwaka 2014-2016 imetoa funzo kubwa la kukabiliana na magonjwa na mchakato wa kusambaza chanjo

-Shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa FAO leo limetoa ripoti ya utafiti ikiangazia mifumo ya chakula ya watu wa asili na athari za kutoweka kwa mifumo hiyo kwa dunia katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

-Katika mada kwa kila leo tunamulika undani wa maadhimisho ya siku ya wakimbizi duniani ambao umedhihirisha umuhimu wa ujumuishi wa wakimbizi kimichezo, kiafya na kielimu.

-Na katika mashinani anaangazia ubunifu wa mkimbizi kutoka Afghanistan anayesoma nchini Marekani.


 

Audio Credit
Assumpta Massoi
Audio Duration
11'3"