Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

03 Septemba 2020

03 Septemba 2020

Pakua

Hii leo jaridani Flora Nducha anaanzia nchini Uganda ambako UNHCR imechukua hatua kudhibiti kusambaa kwa COVID-19 miongoni mwa wakimbizi, kisha anakwenda Turkana nchini Kenya ambako ziwa la Turkana liko hatarini kukauka na kutishia uhai wa wale wanaolitegemea. UNIDO nayo inahusika kwenye jarida la leo ikimulika usawa wa jinsia kwenye upatikanaji wa ajira, makala tunabisha hodi Morogoro kwake John Kabambala wa Radio Washirika Kids Time FM na mashinani ni Rwanda ambako wanufaika wa mafunzo ya vyoo safi na salama wafunguka! Karibu!

Audio Credit
Flora Nducha
Audio Duration
11'58"